• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro
Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhamira
    • Misingi mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Utumishi
      • Usafi na Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Vijana
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji na Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba za Vikao
    • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Kata
      • Loliondo
        • Ololosokwan
        • Soitsambu
        • Enguserosambu
        • Maalon
        • Oloirien Magaiduru
        • Piyaya
        • Orgosorok
        • Oloipir
        • Arash
      • Ngorongoro
        • Alailelai
        • Naiyobi
        • Olbalbal
        • Nainokanoka
        • Kakesio
        • Ngorongoro
        • Eyasi
        • Endulen
        • Ngoile
        • Alaitolei
        • Misigyo
      • Sale
        • Sale
        • Malambo
        • Digodigo
        • Oldonyosambu
        • Samunge
        • Pinyinyi
        • Kirangi
        • Engaresero
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezw
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Majarida mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi

Afya

Sekta ya Afya na Ustawi wa Jamii inaongozwa na Dr. Omari Nigura Sukari ambaye ndiye Mganga Mkuu wa Wilaya. Afya na Ustawi wa Jamii katika ngazi ya Wilaya ni sehemu ya Idara zinazounda Kamati ya uendeshaji wa Halmashauri 'Council Health Management Team' (CHMT) hutoa afya kiufundi na huduma ya jamii ushauri wa maendeleo ndani ya Wilaya. 

Dhamira ni Hospitali, Vituo vya Afya na Zahanati ili ziweze kutoa Huduma bora ya Afya kwa Umma. Sekta ya afya na Ustawi wa kijamii pia ina lengo la kuwezesha utoaji wa afya kinga, tiba, maendeleo ya afya na ustawi wa jamii katika Wilaya.

Wilaya Ngorongoro ina vituo vya afya 7 vinavyotoa huduma ambazo 2 zina hadhi ya hospitali, Vituo vya afya 5 na Zahanati 26. Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro haina Hospitali ya wilaya na inatumia hospitali ya Wasso kama hospitali teule ya Wilaya kwani inatoa huduma ambayo ni sawa na Hospitali pamoja na idadi ya watu wa kuwahudumia.

Mpango Mkakati

Katika kutekeleza Huduma za Afya ya Msingi Mpango wa Maendeleo ya malengo, Halmashauri imepanga kuwa na zahanati katika kila kijiji na kituo cha afya katika kila kata Hivi sasa nje ya vijiji 72  vijiji 26 ndivyo vinapata huduma hiyo sawa na asilimia (33%) ya vijiji vyote.

Wilaya inaendelea kutoa huduma za Afya (Tiba na Kinga) kwa wananchi wake kupitia vituo vyake na hupokea dawa kutoka bohari kuu ya madawa (MSD) kupitia mfumo wa Ugavi mkuu –Intergrated Logistic system (ILS) kwa ruzuku mbalimbali na fedha za wafadhili.

Shughuli nyingine zinazotekelezwa na Idara ni pamoja na:-

  1. Kuandaa na kupeleka orodha ya mahitaji ya dawa kwa vituo vyote vya kutolea huduma wilayani (ILS) pamoja na dawa za kupunguza makali ya UKIMWI (ARV), TB na vitendanishi Lab. (Reagents) MSD.
  2. Kuratibu na kusimamia zoezi la utoaji dawa za minyoo kwa watoto wote walio na umri wa kwenda shule ya msingi na chekechea kuanzia umri wa miaka 5 hadi 14.
  3. Kusimamia zoezi la ukusanyaji damu salama pindi linapofanyika. Baadhi ya maeneo ambapo zoezi hili linafanyika ni katika shule za sekondari na kwenye taasisi mbalimbali.
  4. Kazi ya utambuzi wa wazee wilayani ilifanyika ambapo wazee.
  5. Usimamizi wa uchaguzi wa viongozi wa mabaraza ya wazee katika ngazi za Kata.
  6. Kufanya ziara ya usimamizi katika vituo vya kulelea watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi Wilayani
  7. Uhamasishaji kwa wanakaya kujiunga na mfuko wa afya ya jamii (CHF).
  8. Usambazaji wa dawa za chanjo pamoja na baadhi ya dawa muhimu (essential medicines ) kwa vituo vyote vya kutolea huduma za Afya Wilayani
  9. Kuendesha huduma za Kliniki za mikoba (outreach and mobile clinics) kupitia vituo vya kutolea huduma za afya na ndege.
  10. Uhamasishaji wa wakunga wa jadi juu ya uzazi salama na umuhimu wa kuwapeleka kina mama wajawazito katika vituo vya kutolea huduma wakati wa kujifungua
  11. Kufanya zoezi la mabadiliko ya chanjo ya polio kutoka t OPV kwenda b OPV katika ngazi zote Wilayani.

Matangazo

  • MAJINA YA WALIOPATA VIWANJA HALMASHAURI YA WILAYA YA NGORONGORO MWAKA 2020 February 14, 2020
  • MLIPUKO WA KIPINDUPINDU WILAYA YA NGORONGORO May 07, 2018
  • KUUZAJI WA VIWANJA MJI WA WASSO May 11, 2018
  • MUDA WA NYONGEZA JUU YA MAOMBI YA VIWANJA HALMASHAURI YA WILAYA YA NGORONGORO June 13, 2018
  • Tazama zaidi

Habari Mpya

  • MKUTANO WA KUPOKEA MAONI YA UUNDAJI WA MPANGO WA MATUMIZI BORA YA ARDHI

    February 28, 2023
  • NGORONGORO KINARA VIASHIRIA VYA LISHE

    February 20, 2023
  • UTAPIA MLO WASHUKA KWA 0.6% WILAYA YA NGORONGORO.

    February 09, 2023
  • TAASA YAKABIDHI BWENI LA WAVULANA SHULE YA MSINGI OLOLOSOKWAN

    February 04, 2023
  • Tazama zaidi

Video

https://www.youtube.com/watch?v=BMud_vpj7i0
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Upimaji darasa la Nne 2019
  • Taarifa na Matangazo
  • Mikataba na Miongozo
  • machapisho mbalimbali
  • Habari kwa umma
  • Taarifa kwa Umma
  • JINSI YA KUPATA SALARY SLIP
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO, VYUO VYA ELIMU YA KATI NA VYUO VYA UFUNDI JUNE 2019.
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2023 NGORONGORO

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya TAMISEMI
  • Tovuti ya Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Rais
  • Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro
  • NGORONGORO DC YOUTUBE CHANEL
  • MATOKEO YA UPIMAJI DARASA LA NNE 2019 WILAYA YA NGORONGORO

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2017 NDC . Haki zote zimehifadhiwa.