• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro
Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhamira
    • Misingi mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Utumishi
      • Usafi na Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Vijana
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji na Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba za Vikao
    • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Kata
      • Loliondo
        • Ololosokwan
        • Soitsambu
        • Enguserosambu
        • Maalon
        • Oloirien Magaiduru
        • Piyaya
        • Orgosorok
        • Oloipir
        • Arash
      • Ngorongoro
        • Alailelai
        • Naiyobi
        • Olbalbal
        • Nainokanoka
        • Kakesio
        • Ngorongoro
        • Eyasi
        • Endulen
        • Ngoile
        • Alaitolei
        • Misigyo
      • Sale
        • Sale
        • Malambo
        • Digodigo
        • Oldonyosambu
        • Samunge
        • Pinyinyi
        • Kirangi
        • Engaresero
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezw
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Majarida mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi

Historia

Chimbuko la eneo

Halmashauri ya Wilaya Ngorongoro ni mojawapo kati ya Halmashauri za Wilaya sita na Jiji moja zilizopo katika Mkoa wa Arusha Nchini Tanzania. Makao Makuu ya Wilaya yapo Loliondo Wasso umbali wa takriban kilomita 400 kutoka Makao Makuu ya Mkoa. Wilaya hii ilianzishwa mwaka 1979 chini ya sheria namba 5 ya Mamlaka za Serikali za Mitaa ya Mwaka 1982 ikiwa na Tarafa tatu za Loliondo, Sale na Ngorongoro. Tarafa ya Ngorongoro imo kwenye eneo la Hifadhi ya Ngorongoro (NCA) iliyoanzishwa kwa Sheria Sura 413 ya mwaka1959 (NCA, CAP 284 (R.E.2002) na linasimamiwa na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA).

Utawala na watu wake

Wilaya ya Ngorongoro inapakana na Nchi jirani ya Kenya kwa upande wa Kaskazini, Wilaya ya Serengeti kwa upande wa Magharibi, Wilaya za Monduli na Longido kwa upande wa Mashariki na Wilaya ya Karatu kwa upande wa Kusini.

Kutokana na Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2012, Wilaya ya Ngorongoro  ilikuwa na idadi ya watu 174,278 Wanaume wakiwa ni 82,610 na Wanawake ni 91,668 ambapo wastani wa ukubwa wa kaya ni 4.8 na ongezeko la watu katika Mkoa wa Arusha ‘growth rate’ ikiwa ni asilimia 2.9~3.

Ukubwa wa Eneo

 Wilaya ya Ngorongoro ina eneo la kilometa za mraba zipatazo 14,036 ambalo lipo katika nyuzi 30030’ kusini mwa Ikweta na 35042’ Mashariki mwa Greenwich na urefu wa mita 1,009 hadi 3,645 kutoka usawa wa bahari.

Mgawanyo wa ardhi katika Wilaya ya Ngorongoro ni kama ifuatavyo:-

  • Eneo la kwanza ni eneo lililopo chini ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro lenye ukubwa wa kilometa za mraba 8,292 sawa na asilimia 59 za eneo lote la Wilaya. Eneo hili la Hifadhi hutumika kwa malisho ya mifugo na Wanyamapori na pia shughuli za kitalii.
  • Eneo la pili ni pori Tengefu la Loliondo linalojumuisha Tarafa yote ya Loliondo na sehemu ya Tarafa ya Sale lenye ukubwa wa kilometa za mraba 4,000 sawa na asilimia 28.4. Eneo hili hutumika kwa shughuli za Kilimo, Ufugaji, Hifadhi ya  wanyama, Misitu, Biashara, utalii na makazi.
  • Eneo la tatu ni eneo la pori tengefu la ziwa Natron linalojumuisha sehemu iliyobaki ya Tarafa ya Sale lenye ukubwa wa kilometa za mraba 1,744 sawa na asilimia 12.4

Hali ya hewa

Kwa ujumla Wilaya ya Ngorongoro ina maeneo ya joto la washastani hasa katika Tarafa ya Sale na hali ya Kitropikali Wilaya Ngorongoro ina mvua za wastani wa 800mm hadi 1,000mm na upepo Mkali unaovuma kutoka Mashariki kuelekea Magharibi. Maeneo makubwa ya Wilaya ya uoto wa asili jamii ya Akashia hasa ukana wa Kati, Mashariki na Magharibi. Upande wa Mashariki na Magharibi kuna Ukanda wa bonde la Ufa na misitu Mkubwa. Upande wa Kusini mwa Wilaya ni eneo maarufu la Hifadhi ya Ngorongoro linalochukua asilimia 59 ya wilaya ambalo lipo katika Tarafa moja ya Ngorongoro.

Katika wilaya hii ndipo lilipo bonde la Ngorongoro maarufu kama Ngorongoro kreta na mlima Ol-Doinyo Lengai ambapo ni aina ya milima volcano hai. Kutokana na Jiographia ya eneo na hali ya hewa sehemu ya wilaya ya Ngorongoro ndiyo kitovu cha mapitio ya nyumbu na mazalia yake hasa ikiwa sehemu ya ecolojia ya Serengeti.

Uoto wa Asili

Wilaya ina misitu minne (4) ya asili iliyosajiliwa ambayo ni:-

  1. Msitu wa Loliondo I unaosimamiwa na Halmashauri ya Wilaya.
  2. Msitu wa Loliondo II unaosimamiwa na jamii msitu huu upo katika kata ya Enguserosambu
  3. Msitu wa Jamii wa Sariani unaosimamiwa na jamii ya vijiji vitano
  4. Msitu wa nyanda za Juu Ngorongoro "Ngorongoro Highlind Forest" unaosimamiwa na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro.

Matangazo

  • MAJINA YA WALIOPATA VIWANJA HALMASHAURI YA WILAYA YA NGORONGORO MWAKA 2020 February 14, 2020
  • MLIPUKO WA KIPINDUPINDU WILAYA YA NGORONGORO May 07, 2018
  • KUUZAJI WA VIWANJA MJI WA WASSO May 11, 2018
  • MUDA WA NYONGEZA JUU YA MAOMBI YA VIWANJA HALMASHAURI YA WILAYA YA NGORONGORO June 13, 2018
  • Tazama zaidi

Habari Mpya

  • MKUTANO WA KUPOKEA MAONI YA UUNDAJI WA MPANGO WA MATUMIZI BORA YA ARDHI

    February 28, 2023
  • NGORONGORO KINARA VIASHIRIA VYA LISHE

    February 20, 2023
  • UTAPIA MLO WASHUKA KWA 0.6% WILAYA YA NGORONGORO.

    February 09, 2023
  • TAASA YAKABIDHI BWENI LA WAVULANA SHULE YA MSINGI OLOLOSOKWAN

    February 04, 2023
  • Tazama zaidi

Video

https://www.youtube.com/watch?v=BMud_vpj7i0
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Upimaji darasa la Nne 2019
  • Taarifa na Matangazo
  • Mikataba na Miongozo
  • machapisho mbalimbali
  • Habari kwa umma
  • Taarifa kwa Umma
  • JINSI YA KUPATA SALARY SLIP
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO, VYUO VYA ELIMU YA KATI NA VYUO VYA UFUNDI JUNE 2019.
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2023 NGORONGORO

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya TAMISEMI
  • Tovuti ya Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Rais
  • Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro
  • NGORONGORO DC YOUTUBE CHANEL
  • MATOKEO YA UPIMAJI DARASA LA NNE 2019 WILAYA YA NGORONGORO

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2017 NDC . Haki zote zimehifadhiwa.