• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro
Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhamira
    • Misingi mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Utumishi
      • Usafi na Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Vijana
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji na Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba za Vikao
    • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Kata
      • Loliondo
        • Ololosokwan
        • Soitsambu
        • Enguserosambu
        • Maalon
        • Oloirien Magaiduru
        • Piyaya
        • Orgosorok
        • Oloipir
        • Arash
      • Ngorongoro
        • Alailelai
        • Naiyobi
        • Olbalbal
        • Nainokanoka
        • Kakesio
        • Ngorongoro
        • Eyasi
        • Endulen
        • Ngoile
        • Alaitolei
        • Misigyo
      • Sale
        • Sale
        • Malambo
        • Digodigo
        • Oldonyosambu
        • Samunge
        • Pinyinyi
        • Kirangi
        • Engaresero
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezw
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Majarida mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi

BARAZA LA BAJETI HALMASHAURI YA NGORONGORO LAPITISHA NA KUPONGEZA MAPENDEKEZO YA BAJETI MWAKA WA FEDHA 2025/2026.

Posted on: February 13th, 2025

Baraza la mkutano wa bajeti limepitisha na kupongeza bajeti iliyopendekezwa na Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro kwa kuzingatia nyanja zote za utekelezelaji wa shughuli za Serikali.

 Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Ngorongoro Mhe. Mohamed Bayo amewataka wataalam wa makusanyo ya mapato  kuongeza bidii katika makusanyo ya mapato na kuziba mianya yote ya upotevu na kutobweteka kwa ongezeko la makusanyo .


 Mhe. Bayo amesema hayo  wakati akifungua mkutano wa baraza la bajeti la halmashauri ya wilaya ya Ngorongoro ambao ni mahsusi kwaajili ya kujadili na kupitisha rasimu ya bajeti ya mwaka wa fedha ujao wa 2025/26 uliofantika leo tarehe 14/2/2025 ukihusisha waheshimiwa madiwani, wataalam kutoka vitengo na Divisheni na Vitengo mbalimbali vya halmashauri, viongozi wa taasisi mbalimbali ikiwemo TRA, TANESCO, TARURA NA RUWASA pamoja na kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya.

 Halmashauri imefanikiwa kusanya zaidi ya Shilingi billioni 2.226 sawa na  62.1% ya makadirio ya mapato na matumizi  hadi kufikia mwezi Desemba 2024 kutoka vyanzo vya ndani ikiwa ni robo ya pili tu  ya mwaka wa fedha 2024/25 ikiwa imefanya vizuri zaidi ikilinganishwa na kipindi kama hiki cha mwaka wa fedha 2023/24 ambapo halmashauri ilikua imekusanya kwa asilimia 46.4


Aidha Kwa upande wake Bi. Emmy Hongoli ambae ni Afisa Mipango Wilaya  wakati akiwasilisha rasimu ya mapendekezo ya mapato na matumizi kwa maana ya  bajeti ya mwaka wa fedha 2025/2026 kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji amesema halmashauri ya wilaya ya Ngorongoro inakisia kukusanya na kupokea kiasi cha Tsh.41,280,018,526 .

Pia, halmashauri kwa mwaka huo fedha imejipanga katika vipaumbele kuu saba ambavyo ni utawala bora, kuboresha huduma za elimu, huduma za afya, kuongeza mapato ya ndani kwa kuimarisha na kusimamia mifumo ya ukusanyaji mapato, kuimarisha huduma za mifugo na kilimo, kuimarisha shughuli za uhifadhi na utalii na kuwezesha jamii kiuchumi ikiwemo kutoa mikopo isiyo na riba kwa makundi mbalimbali

Bi. Emmy Hongoli ameeleza rasimu ya bajeti hii  imeandaliwa kwa kuzingatia miongozo mbalimbali ambayo ni muongozo wa bajeti wa mwaka 2025/26, ilani ya uchaguzi ya chama cha mapinduzi 2025, na mpango mkakati wa halmashauri wa miaka mitano 2021/26, mpango wa Taifa wa maendeleo wa miaka mitano, malengo ya maendeleo endelevu ya mwaka 2020-30 mambo mtambuka na maelekezo mengine ambapo  Baraza limepokea kujadili kupongeza na kuipitisha.

Matangazo

  • TANGAZO LA RATIBA YA UCHAGUZI NA UANDIKISHAJI WA UCHAGUZI. September 26, 2024
  • TANGAZO LA UANDIKISHAJI VIJANA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA. October 01, 2024
  • MATOKEO YA USILI WATENDAJI WA KIJIJI.2. September 29, 2024
  • MATOKEO YA USILI WATENDAJI WA KIJIJI. September 29, 2024
  • Tazama zaidi

Habari Mpya

  • BARAZA LA MADIWANI LAPONGEZA MIRADI YA MAENDELEO ILIYOTEKELEZWA NA SERIKALI WILAYANI NGORONGORO

    May 16, 2025
  • NGORONGORO MSTARI WA MBELE KUHIMIZA MATUMIZI YA NISHATI SAFI.

    May 09, 2025
  • KISIMA CHA MAJI SAFI KUCHIMBWA SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA YA NGORONGORO

    April 25, 2025
  • ZIARA YA MWENYEKITI WA HALMASHAURI TARAFA YA NGORONGORO.

    April 28, 2025
  • Tazama zaidi

Video

Afisa kilimo Ngorongoro aeleza na kufafanua namna ya kupata mazao yenye afya na mbegu bora kutumia katika kilimo.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Upimaji darasa la Nne 2019
  • Taarifa na Matangazo
  • Mikataba na Miongozo
  • machapisho mbalimbali
  • Habari kwa umma
  • Taarifa kwa Umma
  • JINSI YA KUPATA SALARY SLIP
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO, VYUO VYA ELIMU YA KATI NA VYUO VYA UFUNDI JUNE 2019.
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2023 NGORONGORO

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya TAMISEMI
  • Tovuti ya Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Rais
  • Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro
  • NGORONGORO DC YOUTUBE CHANEL
  • MATOKEO YA UPIMAJI DARASA LA NNE 2019 WILAYA YA NGORONGORO

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2017 NDC . Haki zote zimehifadhiwa.