• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro
Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhamira
    • Misingi mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Utumishi
      • Usafi na Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Vijana
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji na Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba za Vikao
    • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Kata
      • Loliondo
        • Ololosokwan
        • Soitsambu
        • Enguserosambu
        • Maalon
        • Oloirien Magaiduru
        • Piyaya
        • Orgosorok
        • Oloipir
        • Arash
      • Ngorongoro
        • Alailelai
        • Naiyobi
        • Olbalbal
        • Nainokanoka
        • Kakesio
        • Ngorongoro
        • Eyasi
        • Endulen
        • Ngoile
        • Alaitolei
        • Misigyo
      • Sale
        • Sale
        • Malambo
        • Digodigo
        • Oldonyosambu
        • Samunge
        • Pinyinyi
        • Kirangi
        • Engaresero
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezw
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Majarida mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi

BARAZA LA WAFANYAKAZI HALMASHAURI WILAYA YA NGORONGORO LAPITIA RASIMU YA BAJETI YA SHILINGI BIL 41.2, MWAKA WA FEDHA 2025/2026.

Posted on: February 11th, 2025

Baraza la Wafanyakazi la Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro  limejadili na kupitia mapendekezo ya Bajeti ya Mapato na Matumizi, ambayo ni jumla ya shilingi bilioni 41.280,018,526.00  kwa mwaka wa fedha 2025/2026 Wilaya ya Ngorongoro  Mkoa wa Arusha.

Baraza la Wafanyakazi limekaa kujadili bajeti hiyo leo tarehe 10 Februari 2025 katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri ambapo Mwenyekiti wa kikao hicho ambaye ni Afisa Ustawi wa Jamii Bw. Benezeth Bwikizo ameeleza kwamba ni halali kwa kila mfanyakazi kutimiza wajibu wake na kusisitiza ushirikiano ili kuhakikisha wanafikia adhima na malengo yaliyowekwa na kuwaomba Watumishi waendelee kutekeleza majukumu kwa kuzingatia Bajeti iliyopitishwa.

Bw. Bwikizo  amefafanua na kueleza kuwa kikao hicho ni maalum kwa ajili ya kupitia, kujadili na kufanya tathmini ya utendaji kazi ambapo kila mfanyakazi ana haki katika utekelezaji wa majukumu na stahiki anapowajibika kutimiza malengo yaliyopangwa kwa mwaka wa fedha 2025/2026.

Awali akiwasilisha rasimu ya Bajeti ya mwaka 2025/2026 Afisa Mipango wa Halmashauri Bi. Emmy Hongoli  kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro amefafanua kwamba katika rasimu hiyo ya Bajeti kiasi cha shilingi 3,797,811,070 ni fedha zitokanazo na vyanzo vya Mapato ya ndani ya Halmashauri, kiasi cha shilingi bilioni 18,114,572,000 ni fedha ya mishahara ya Watumishi, na kiasi cha shilingi bilioni 1,092,093,000 ikiwa ni ruzuku ya uendeshaji (OC) na kiasi cha shilingi bilioni 18,275,542,456.00 ni kwa ajili ya kutekeleza miradi ya maendeleo na fedha zote ni kutoka Serikali kuu na wahisani.


Aidha Bi. Emmy Hongoli  ameeleza kuwa pamoja na kuwepo kwa rasimu ya bajeti hiyo ofisi ya Mipango na Uratibu imeahidi kutekeleza na kufanyia kazi mapendekezo na maadhimio ya kikao hicho ikiwa ni pamoja na kuendeleza ushirikiano ili kuhakikisha kuwa na maendeleo chanya katika jamii ndani ya Halmashauri ya Ngorongoro

Hata hivyo kupitia kikao hicho wajumbe walipata wasaa wa kupitia na kujadili pamoja na kutoa maoni  yao juu ya mapendekezo ya bajeti hiyo na kupongeza namna ulivyoandaliwa .

Matangazo

  • TANGAZO LA RATIBA YA UCHAGUZI NA UANDIKISHAJI WA UCHAGUZI. September 26, 2024
  • TANGAZO LA UANDIKISHAJI VIJANA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA. October 01, 2024
  • MATOKEO YA USILI WATENDAJI WA KIJIJI.2. September 29, 2024
  • MATOKEO YA USILI WATENDAJI WA KIJIJI. September 29, 2024
  • Tazama zaidi

Habari Mpya

  • WANANCHI WAISHUKURU SERIKALI KUKAMILIKA DARAJA LA JEMA- OLDONYOSAMBU.

    March 09, 2026
  • BARAZA LA HALMASHAURI NGORONGORO LATAMBUA NA KUZIPONGEZA SHULE ZILIZOFANYA VIZURI NA MICHANGO YA WADAU WA ELIMU, KFW, THOMSON Safaris na PWC ZAPONGEZWA. MIL 3.5 ZATOLEWA KAMA ZAWADI.

    February 21, 2026
  • TANAPA, FZS NA KFW WAUNGANISHA NGUVU KUBORESHA MIUNDOMBINU YA KISASA YA SHULE YA MSINGI SOITSAMBU.

    February 18, 2026
  • BARAZA LA WAFANYAKAZI HALMASAHURI YA WILAYA YA NGORONGORO LIMEPITISHA RASIMU YA MPANGO WA BAJETI 2026/2027.

    February 13, 2026
  • Tazama zaidi

Video

Afisa kilimo Ngorongoro aeleza na kufafanua namna ya kupata mazao yenye afya na mbegu bora kutumia katika kilimo.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2026
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2025/2026
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2023 NGORONGORO
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2023
  • Taarifa na Matangazo
  • Mikataba na Miongozo
  • Taarifa kwa Umma
  • Matokeo ya Upimaji darasa la Nne 2019
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO, VYUO VYA ELIMU YA KATI NA VYUO VYA UFUNDI JUNE 2019.

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya TAMISEMI
  • Tovuti ya Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Rais
  • Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2025/-2026
  • NGORONGORO DC YOUTUBE CHANEL

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2017 NDC . Haki zote zimehifadhiwa.