• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro
Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhamira
    • Misingi mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Utumishi
      • Usafi na Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Vijana
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji na Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba za Vikao
    • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Kata
      • Loliondo
        • Ololosokwan
        • Soitsambu
        • Enguserosambu
        • Maalon
        • Oloirien Magaiduru
        • Piyaya
        • Orgosorok
        • Oloipir
        • Arash
      • Ngorongoro
        • Alailelai
        • Naiyobi
        • Olbalbal
        • Nainokanoka
        • Kakesio
        • Ngorongoro
        • Eyasi
        • Endulen
        • Ngoile
        • Alaitolei
        • Misigyo
      • Sale
        • Sale
        • Malambo
        • Digodigo
        • Oldonyosambu
        • Samunge
        • Pinyinyi
        • Kirangi
        • Engaresero
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezw
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Majarida mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi

JINSI YA KUPATA KITAMBULISHO CHA MJASIRIMALI MDOGO(MACHINGA)

Posted on: December 29th, 2018

Loliondo ,Arusha.

Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro imezindua zoezi la kuwatambua na kuwapa  vitambulisho wajasiriamali wadogo  kufuatia agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr.John Pombe Magufuli.

Akizungumza na mamia ya wananchi waliohudhuria kwenye uzinduzi wa kutoa vitambulisho vya wajasiriamali wadogo hapo jana katika viwanja vya mnada wa Mji wa Wasso ,mwenyekiti wa Ulinzi na usalama wa ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Ngorongoro Mh.Rashid Mfaume Taka  amezindua na kuwapatia wajasiriamali na wafanyabiashara wadogo ishirini na mbili ambao walikidhi vigezo vya kupata vitambulisho hivyo.

Katika hotuba yake kwa wananchi Mh.Taka ametaja zoezi hilo kuwa ni kufuatia agizo la Raisi Dr.John Pombe Magufuli katika kikao chake na wakuu wa Mikoa na wilaya kote nchini pamoja na mawaziri mbalimbali ,Rais Magufuli alitoa vitambulisho vya wajasiriamali wadogo 25,000 kwa kila Mkuu wa Mkoa  na kuagiza kugawa kwa Halmashauri zote nchini  ili kuwapatia wajasiriamali wadogo ambao  mtaji wao hauzidi shilingi za kitanzania Milioni nne kwa mwaka.

Baada ya kutoa vitambulisho hivyo Mh.Taka ameeleza kuwa hakuna mamlaka yoyote itakayokuwa na idhini kudai ushuru au kodi yoyote kwa mjasiriamali aliyepewa kitambulisho hicho na kuongeza kuwa wataendelea kuwatambua na kutoa vitambulisho  kwa wajasiriamali watakaojiandikisha  na kikidhi vigezo vinavyohitajika

Mh Taka ameeleza kuwa sifa za kupata kitambulisho hicho kuwa ni mjasiriamali au mfanyabishara lazima awe ni mtanzania,awe ni mjasiria mali ambae mauzo yake hayazidi milioni nne kwa mwaka,awe na kitambulisho kinachomtambulisha kimojawapo kati ya  ,Leseni,kitambulisho cha kitaifa ,kitambulisho au barua kutoka kwa mtendaji wa kijiji,picha moja ya passport.Baada ya  kuwa na viambatanisho hivyo Mkusika atajaza fomu na kulipa shilingi elfu ishirini na kupatiwa kitambulisho chake.Ameeleza pia kuwa zoezi hilo litaendelea likiendeshwa na timu ya wataalamu kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro na ofisi za TRA Ngorongoro katika minada yote kulingana na Ratiba na siku ya minada katika maeneo yote Wilayani Ngorongoro


Imetolewa na 

Kitengo cha Habari na Mawasiliano

Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro

Mh.Rashid M.Taka akizindua zoezi la kuwapatia wajasiriamali wadogo vitambulisho katika viwanja vya mnada mji wa Wasso



Matangazo

  • TANGAZO LA RATIBA YA UCHAGUZI NA UANDIKISHAJI WA UCHAGUZI. September 26, 2024
  • TANGAZO LA UANDIKISHAJI VIJANA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA. October 01, 2024
  • MATOKEO YA USILI WATENDAJI WA KIJIJI.2. September 29, 2024
  • MATOKEO YA USILI WATENDAJI WA KIJIJI. September 29, 2024
  • Tazama zaidi

Habari Mpya

  • WILAYA YA NGORONGORO YAPONGEZWA KWA UKUSANYAJI WA ΜΑΡΑΤΟ ΝA KUPATA HATI SAFI.

    June 11, 2025
  • NGORONGORO YANG'ARA MASHINDANO YA RIADHA UMITASHUMTA MKOA 2025.

    June 03, 2025
  • KAMPENI YA KITAIFA YA UTOAJI CHANJO NA DAWA KINGA ZA MAGOJWA YA MINYOO NA TRAKOMA HALMASHAURI YA WILAYA YA NGORONGORO.

    May 30, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI LAPONGEZA MIRADI YA MAENDELEO ILIYOTEKELEZWA NA SERIKALI WILAYANI NGORONGORO

    May 16, 2025
  • Tazama zaidi

Video

Afisa kilimo Ngorongoro aeleza na kufafanua namna ya kupata mazao yenye afya na mbegu bora kutumia katika kilimo.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Upimaji darasa la Nne 2019
  • Taarifa na Matangazo
  • Mikataba na Miongozo
  • machapisho mbalimbali
  • Habari kwa umma
  • Taarifa kwa Umma
  • JINSI YA KUPATA SALARY SLIP
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO, VYUO VYA ELIMU YA KATI NA VYUO VYA UFUNDI JUNE 2019.
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2023 NGORONGORO

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya TAMISEMI
  • Tovuti ya Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Rais
  • Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro
  • NGORONGORO DC YOUTUBE CHANEL
  • MATOKEO YA UPIMAJI DARASA LA NNE 2019 WILAYA YA NGORONGORO

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2017 NDC . Haki zote zimehifadhiwa.