• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro
Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhamira
    • Misingi mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Utumishi
      • Usafi na Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Vijana
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji na Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba za Vikao
    • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Kata
      • Loliondo
        • Ololosokwan
        • Soitsambu
        • Enguserosambu
        • Maalon
        • Oloirien Magaiduru
        • Piyaya
        • Orgosorok
        • Oloipir
        • Arash
      • Ngorongoro
        • Alailelai
        • Naiyobi
        • Olbalbal
        • Nainokanoka
        • Kakesio
        • Ngorongoro
        • Eyasi
        • Endulen
        • Ngoile
        • Alaitolei
        • Misigyo
      • Sale
        • Sale
        • Malambo
        • Digodigo
        • Oldonyosambu
        • Samunge
        • Pinyinyi
        • Kirangi
        • Engaresero
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezw
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Majarida mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi

Mwenyekiti wa CCM Wilaya afanya ukaguzi wa miradi wilaya Ngorongoro

Posted on: July 9th, 2018

Katika kuhakikisha utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya chama cha mapinduzi unafanyika, Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Ngorongoro ndugu Ndirango alifanya ziara ya kukagua miradi ya maendeleo katika tarafa zote tatu za wilaya ya Ngorongoro. Akiwa katika shule ya msingi Ngoile iliyoko tarafa ya Ngorongoro, mwenyekiti huyo aliyeambatana na wajumbe wengine wa CCM na wataalam wa halmashauri alikagua mradi wa ujenzi wa madarasa matatu na choo na kutoa pongezi kwa kazi nzuri iliyofanyika licha ya mapungufu madogo aliyoyaona.

Miradi mingine aliyokagua ni ujenzi wa bweni, maabara na choo katika sekondari ya Sale, ujenzi wa bwalo, nyumba ya walimu na bweni katika shule ya sekondari Digodigo pamoja na ujenzi wa hospitali ya wilaya unaoendelea sakala.

Matangazo

  • TANGAZO LA RATIBA YA UCHAGUZI NA UANDIKISHAJI WA UCHAGUZI. September 26, 2024
  • TANGAZO LA UANDIKISHAJI VIJANA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA. October 01, 2024
  • MATOKEO YA USILI WATENDAJI WA KIJIJI.2. September 29, 2024
  • MATOKEO YA USILI WATENDAJI WA KIJIJI. September 29, 2024
  • Tazama zaidi

Habari Mpya

  • SERIKALI YAENDELEA KUTEKELEZA UJENZI WA MIUNDO MBINU NA MIRADI YA MAENDELEO WILAYANI NGORONGORO.

    January 12, 2026
  • DC SAKULO AITEMBELEA FAMILIA YA MWANAUME ALIYEPOTEA KWA KUZAMA MAJI KATA YA SAMUNGE.

    January 09, 2026
  • Wanafunzi 3,521 Wachaguliwa Kujiunga Kidato cha Kwanza wilayani Ngorongoro 2026..

    January 09, 2026
  • DC SAKULO AFANYA ZIARA YA KUTEMBELEA MIRADI YA MAENDELEO, IKIWEMO CHUO CHA UWALIMU NGORONGORO.

    January 09, 2026
  • Tazama zaidi

Video

Afisa kilimo Ngorongoro aeleza na kufafanua namna ya kupata mazao yenye afya na mbegu bora kutumia katika kilimo.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2026
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2023 NGORONGORO
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2023
  • Taarifa na Matangazo
  • Mikataba na Miongozo
  • Taarifa kwa Umma
  • Matokeo ya Upimaji darasa la Nne 2019
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO, VYUO VYA ELIMU YA KATI NA VYUO VYA UFUNDI JUNE 2019.
  • machapisho mbalimbali

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya TAMISEMI
  • Tovuti ya Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Rais
  • Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro
  • NGORONGORO DC YOUTUBE CHANEL
  • MATOKEO YA UPIMAJI DARASA LA NNE 2019 WILAYA YA NGORONGORO

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2017 NDC . Haki zote zimehifadhiwa.