• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro
Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhamira
    • Misingi mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Utumishi
      • Usafi na Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Vijana
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji na Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba za Vikao
    • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Kata
      • Loliondo
        • Ololosokwan
        • Soitsambu
        • Enguserosambu
        • Maalon
        • Oloirien Magaiduru
        • Piyaya
        • Orgosorok
        • Oloipir
        • Arash
      • Ngorongoro
        • Alailelai
        • Naiyobi
        • Olbalbal
        • Nainokanoka
        • Kakesio
        • Ngorongoro
        • Eyasi
        • Endulen
        • Ngoile
        • Alaitolei
        • Misigyo
      • Sale
        • Sale
        • Malambo
        • Digodigo
        • Oldonyosambu
        • Samunge
        • Pinyinyi
        • Kirangi
        • Engaresero
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezw
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Majarida mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi

UZINDUZI WA UJENZI WA CHUO CHA UFUNDI STADI – SAMUNGE VTC

Posted on: September 5th, 2017

Mkuu wa Wilaya ya Ngorongoro Mheshimiwa Rashid Mfaume Taka Mgeni Rasmi akiongozana na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Ngorongoro Ndugu Raphael John Siumbu  pamoja na baadhi ya wataalamu kutoka katika Halmashauri ya Wilaya ya  Ngorongoro wamezindua ujenzi wa Chuo kikubwa cha Ufundi Stadi (VTC) mnamo Tarehe 18/08/2017 ambapo Chuo hicho kinajengwa kwa Nguvu za Wananchi wa Kata ya Samunge.

Akitoa taarifa fupi ya ujenzi wa chuo hicho Mwenyekiti wa kamati ya ujenzi Ndugu Sakanda Gaima amesema ujenzi huo unatarajia kuanza mwezi Agosti 2017 na kukamilika mwezi Agosti 2018, Aidha amemwambia Mgeni Rasmi kuwa Chuo hicho kitakuwa mali ya Serikali hivyo baada ya majengo kukamilika Chuo kitakabidhiwa kwa Halmashauri ya Wilaya kwa uendeshaji. Vile vile Mwenyekiti amemwambia Mgeni Rasmi kuwa kwa sasa mradi huu unahitaji kuwa na mtaalamu mwelekezi ili uweze kutekelezwa kwa ubora unaotakiwa kitaifa na Mamlaka ya Ufundi Stadi(VETA).

Mgeni Rasmi Mheshimiwa Mkuu wa Wilaya akipokea taarifa hiyo amepongeza jitihada hizo na kuwashukuru wananchi wa Samunge kwa uamuzi huo ambapo amesema atahakikisha anausimamia mradi huu na kwamba ameagiza Halmashauri ya Wilaya kutoa watalaamu wa ujenzi ili kufanya mambo yote yanayotakiwa katika hatua za awali kwa muda usiozidi wiki moja. Mheshimiwa Mkuu wa Wilaya pia amesema kwa sasa macho ya Halmashauri na Wilaya kwa ujumla yatakuwa kwenye mradi huo mpaka utakapokamilika. Mwisho Mheshiwa Mkuu wa Wilaya aliuomba uongozi wa Serikali ya kijiji cha Samunge kutenga eneo zaidi ili kufanikisha ujenzi wa chuo hicho.

Nae Mkurugenzi Mtendaji Bwana Raphael John Siumbu amesema Halmashauri ipo tayari kushiriki moja kwa moja katika ujenzi wa Chuo hicho na kwamba Halmashauri itatoa wataalamu wa Ujenzi ili kusimamia mradi huo na itatenga fedha za mapato ya ndani kadri itakavyowezekana kushiriki kuwezesha ujenzi huo.

Wakitoa Salamu viongozi wa kijamii waliohudhuria kwenye hafla hiyo ya uzinduzi wa ujenzi wa Chuo hicho wamesema wananchi wa Samunge wanajenga Chuo cha Ufundi Stadi ili kuunga mkono juhudi za Mheshimiwa Rais Daktari John Pombe MAGUFULI za kuanzisha Tanzania ya Viwanda, wamesema Rais ameonesha nia ya kuanzisha Viwanda hapa Nchini na wao wanajenga Chuo cha Ufundi ili kuzalisha wataalamu watakaofanya kazi viwandani. Viongozi hao pia wamesema mradi huu utatekelezwa kwa kushirikiana na Serikali na hawatakubali mradi  huu utumike kisiasa kabisa.

Matangazo

  • TANGAZO LA RATIBA YA UCHAGUZI NA UANDIKISHAJI WA UCHAGUZI. September 26, 2024
  • TANGAZO LA UANDIKISHAJI VIJANA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA. October 01, 2024
  • MATOKEO YA USILI WATENDAJI WA KIJIJI.2. September 29, 2024
  • MATOKEO YA USILI WATENDAJI WA KIJIJI. September 29, 2024
  • Tazama zaidi

Habari Mpya

  • WILAYA YA NGORONGORO YAPONGEZWA KWA UKUSANYAJI WA ΜΑΡΑΤΟ ΝA KUPATA HATI SAFI.

    June 11, 2025
  • NGORONGORO YANG'ARA MASHINDANO YA RIADHA UMITASHUMTA MKOA 2025.

    June 03, 2025
  • KAMPENI YA KITAIFA YA UTOAJI CHANJO NA DAWA KINGA ZA MAGOJWA YA MINYOO NA TRAKOMA HALMASHAURI YA WILAYA YA NGORONGORO.

    May 30, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI LAPONGEZA MIRADI YA MAENDELEO ILIYOTEKELEZWA NA SERIKALI WILAYANI NGORONGORO

    May 16, 2025
  • Tazama zaidi

Video

Afisa kilimo Ngorongoro aeleza na kufafanua namna ya kupata mazao yenye afya na mbegu bora kutumia katika kilimo.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Upimaji darasa la Nne 2019
  • Taarifa na Matangazo
  • Mikataba na Miongozo
  • machapisho mbalimbali
  • Habari kwa umma
  • Taarifa kwa Umma
  • JINSI YA KUPATA SALARY SLIP
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO, VYUO VYA ELIMU YA KATI NA VYUO VYA UFUNDI JUNE 2019.
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2023 NGORONGORO

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya TAMISEMI
  • Tovuti ya Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Rais
  • Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro
  • NGORONGORO DC YOUTUBE CHANEL
  • MATOKEO YA UPIMAJI DARASA LA NNE 2019 WILAYA YA NGORONGORO

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2017 NDC . Haki zote zimehifadhiwa.