• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro
Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhamira
    • Misingi mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Utumishi
      • Usafi na Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Vijana
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji na Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba za Vikao
    • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Kata
      • Loliondo
        • Ololosokwan
        • Soitsambu
        • Enguserosambu
        • Maalon
        • Oloirien Magaiduru
        • Piyaya
        • Orgosorok
        • Oloipir
        • Arash
      • Ngorongoro
        • Alailelai
        • Naiyobi
        • Olbalbal
        • Nainokanoka
        • Kakesio
        • Ngorongoro
        • Eyasi
        • Endulen
        • Ngoile
        • Alaitolei
        • Misigyo
      • Sale
        • Sale
        • Malambo
        • Digodigo
        • Oldonyosambu
        • Samunge
        • Pinyinyi
        • Kirangi
        • Engaresero
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezw
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Majarida mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi

WAKUFUNZI WA SENSA MKOA WA ARUSHA WATAKIA KUWA WAADILIFU ,WAZALENDONA WENYE WELEDI MKUBWA. .

Posted on: July 25th, 2022

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe.John Mongela amewataka wakufunzi  399 wa zoezi la sensa ngazi ya Mkoa toka Wilaya 7 za Mkoa huo kuwa  waadilifu,

Wazalendo na  wenye weledi mkubwa wakati wa utekelezaji wa jukumu la kutoa mafunzo ngazi za Wilaya na Halmashauri.


Mongela amesema hayo wakati wa kufunga mafunzo ya wakufunzi hao  yalioanza tarehe 06 Julai 2022 na  kudumu kwa siku 21 ambapo  amebainisha  zoezi la Sensa kuwa zoezi nyeti na la  kizalendo lenye kuiwezesha Serikali kupata takwimu muhimu za kupanga  mipango ya maendeleo  " niwatake mkatekeleze jukumu la kufundisha kwa  uadilifu  mkubwa, uzalendo  na kwa weledi mkubwa  "amehimiza Mongela



Vilevile Mhe.Mongela amesema  ni muhimu zoezi la Sensa  kutekelezwa kwa umakini na uimara kwani   takwimu za Sensa  zitasaidia kwa mapana  azma ya Serikali ya awamu ya sita ikiongozwa na Mhe.,Rais Samia Suluhu Hassan kupanga mipango ya kuwaletea  wananchi wake maendeleo .


Mafunzo hayo ya wakufunzi ngazi ya Mkoa yamefungwa katika ukumbi wa Chuo cha Uasibu Njiro ikiwa ni hatua katika utelelezaji wa zoezi la Sensa ya watu na makazi itakayofanyika tarehe 23 Agusti 2022

 SENSA KWA MAENDELEO ,JIANDAE KUHESABIWA

Matangazo

  • MAJINA YA WALIOPATA VIWANJA HALMASHAURI YA WILAYA YA NGORONGORO MWAKA 2020 February 14, 2020
  • MLIPUKO WA KIPINDUPINDU WILAYA YA NGORONGORO May 07, 2018
  • KUUZAJI WA VIWANJA MJI WA WASSO May 11, 2018
  • MUDA WA NYONGEZA JUU YA MAOMBI YA VIWANJA HALMASHAURI YA WILAYA YA NGORONGORO June 13, 2018
  • Tazama zaidi

Habari Mpya

  • TANGAZO LA WADAIWA WA KODI YA ARDHI

    September 22, 2023
  • DC-MWANGWALA AAGIZA HUDUMA YA UPASUAJI NA MAABARA KUANZA KUFANYA KAZI ZAHANATI YA SALE..

    September 19, 2023
  • DC NGORONGORO AANZA ZIARA YAKE YA SIKU YA KWANZA KATA YA PINYINYI..

    September 18, 2023
  • DC NGORONGORO AANZA ZIARA YAKE YA SIKU YA KWANZA KATA YA PINYINYI..

    September 18, 2023
  • Tazama zaidi

Video

SHAMBA LA NYASI LA MFANO KATA YA SOITSAMBU
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Upimaji darasa la Nne 2019
  • Taarifa na Matangazo
  • Mikataba na Miongozo
  • machapisho mbalimbali
  • Habari kwa umma
  • Taarifa kwa Umma
  • JINSI YA KUPATA SALARY SLIP
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO, VYUO VYA ELIMU YA KATI NA VYUO VYA UFUNDI JUNE 2019.
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2023 NGORONGORO

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya TAMISEMI
  • Tovuti ya Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Rais
  • Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro
  • NGORONGORO DC YOUTUBE CHANEL
  • MATOKEO YA UPIMAJI DARASA LA NNE 2019 WILAYA YA NGORONGORO

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2017 NDC . Haki zote zimehifadhiwa.