• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro
Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhamira
    • Misingi mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Utumishi
      • Usafi na Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Vijana
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji na Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba za Vikao
    • Ratiba ya Mwenyekiti
    • Kata
      • Loliondo
        • Ololosokwan
        • Soitsambu
        • Enguserosambu
        • Maalon
        • Oloirien Magaiduru
        • Piyaya
        • Orgosorok
        • Oloipir
        • Arash
      • Ngorongoro
        • Alailelai
        • Naiyobi
        • Olbalbal
        • Nainokanoka
        • Kakesio
        • Ngorongoro
        • Eyasi
        • Endulen
        • Ngoile
        • Alaitolei
        • Misigyo
      • Sale
        • Sale
        • Malambo
        • Digodigo
        • Oldonyosambu
        • Samunge
        • Pinyinyi
        • Kirangi
        • Engaresero
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezw
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Majarida mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi

WANANCHI ENGARASERO NA SALE WAMETAKIWA KUJIANDIKISHA KWENYE DAFTARI LA MPIGA KURA.

Posted on: September 25th, 2024

Mkuu wa Wilaya ya Ngorongoro Mhe. Kanali Wilson Sakulo amefanya ziara ya kutembelea Wananchi wa  kata ya Sale na Engarasero leo tarehe 25 Septemba, 2024 kwa lengo la kufanya kampeni ya kuhamasisha kushiriki katika zoezi la kujiandikisha katika daftari la mpiga kura kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa litakalofanyika kwa muda wa siku kumi.

Katika ziara hiyo Wananchi wa kata hizo wamehaswa kuhamasishana wenyewe juu ya umuhimu wa kujiandikisha na kushiriki katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwani ni haki ya kikatiba ya kila mtanzania mwenye vigezo na kushiri katika masuala ya uchaguzi kwani inawapa fursa ya kumchagua kiongozi wanayemuhitaji kwa manufaa yao.


"Nina imani na uhakika siku ya kujiandikisha ya tarehe 11 hadi 20 Oktoba mwaka huu,  mtajitokeza kwa wingi kujiandikisha na kutekeleza haki yenu ya msingi kwani kila mmoja wetu hapa ni mzalendo na ninatoa rai kila mmoja amuhamasishe mwenzie kujitokeza kujiandikisha" amesema Mhe. Kanali Sakulo.

Aidha,  Mkuu wa Wilaya ameongeza kwa kusema kuwa kila mwananchi lazima ajiandikishe kwenye kitongoji au kijiji ambacho ndio makazi yake.


"Kila mmoja atajiandikishia mahali anapotokea au kuishi na ndio sehemu hiyohiyo atakapokwenda kumchagua kiongozi anayemtaka kama umejiandikishia Engarasero au umejiandikishia Sale basi ndio hapo hapo utakapo pigia kura yako hili nalo nimeona niliweke sawa ili kuondoa mkanganyiko".


Pia,  wakati wa mkutano Wananchi wametakiwa kushiriki pia katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika rasmi tarehe 27 Novemba 2024 nchi nzima.

Matangazo

  • TANGAZO LA RATIBA YA UCHAGUZI NA UANDIKISHAJI WA UCHAGUZI. September 26, 2024
  • TANGAZO LA UANDIKISHAJI VIJANA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA. October 01, 2024
  • MATOKEO YA USILI WATENDAJI WA KIJIJI.2. September 29, 2024
  • MATOKEO YA USILI WATENDAJI WA KIJIJI. September 29, 2024
  • Tazama zaidi

Habari Mpya

  • BARAZA LA WAFANYAKAZI HALMASAHURI YA WILAYA YA NGORONGORO LIMEPITISHA RASIMU YA MPANGO WA BAJETI 2026/2027.

    February 13, 2026
  • UFUATILIAJI WA KINA KUFANYIKA KUBORESHA AFYA KWA WATOTO WENYE CHANGAMOTO YA LISHE.

    February 10, 2026
  • SERIKALI YATOA FEDHA BILIONI 19. 513 KUPELEKA UMEME KWENYE VITONGOJI 127 ARUSHA.

    February 04, 2026
  • SIKU YA SHERIA YAADHIMISHWA WILAYANI NGORONGORO.

    February 02, 2026
  • Tazama zaidi

Video

Afisa kilimo Ngorongoro aeleza na kufafanua namna ya kupata mazao yenye afya na mbegu bora kutumia katika kilimo.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2026
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2025/2026
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2023 NGORONGORO
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2023
  • Taarifa na Matangazo
  • Mikataba na Miongozo
  • Taarifa kwa Umma
  • Matokeo ya Upimaji darasa la Nne 2019
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO, VYUO VYA ELIMU YA KATI NA VYUO VYA UFUNDI JUNE 2019.

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya TAMISEMI
  • Tovuti ya Wizara ya Elimu
  • Tovuti ya Rais
  • Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2025/-2026
  • NGORONGORO DC YOUTUBE CHANEL

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2017 NDC . Haki zote zimehifadhiwa.