Posted on: November 14th, 2024
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro, Bw. Murtallah Mbillu, ameongoza zoezi muhimu la kuogesha mifugo katika eneo la Lata Kata ya Oloipiri, linalolenga kudhibiti mlipuko wa...
Posted on: November 11th, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Ngorongoro, Mhe. Kanali Wilson Sakulo, amewatembelea majeruhi wa ajali ya lori aina ya Fuso iliyotokea jana tarehe 10 Novemba 2024, katika eneo la Zero Zero - Wasso. Ajali hiyo ya lo...
Posted on: November 10th, 2024
Jumla ya Wanafunzi 1840 wa kidato Cha nne Wilaya ya Ngorongoro wanatarajia kufanya mtihani wa Taifa wa elimu ya upili unaotarajiwa kufanyika jumatatu ya tarehe 11 Novemba 2024.
...