Posted on: November 10th, 2024
Jumla ya Wanafunzi 1840 wa kidato Cha nne Wilaya ya Ngorongoro wanatarajia kufanya mtihani wa Taifa wa elimu ya upili unaotarajiwa kufanyika jumatatu ya tarehe 11 Novemba 2024.
...
Posted on: November 8th, 2024
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amewataka wagombea wote ambao hawajaridhishwa na uteuzi wa wagombea wa nafasi mbalimbali kwenye Uchaguzi wa S...
Posted on: November 8th, 2024
Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu hassan, imeendelea kutekeleza mpango wa kunusuru kaya masikini mradi unaoteklezwa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii - TASAF kwa kutoa...