Fursa za Uwekezaji katika sekta ya Maliasili: Ufugaji Nyuki.
Zao: Uzalishaji wa Asali na Nta.
Eneo linalokusudiwa: Uwepo wa ardhi kiasi cha hecta 95,000 katika vijiji vyote ikiwepo Eneo la Hifadhi ya Ngorongoro.
Hali ya Soko: Asali na nta ni hitaji kubwa la jamii
Soko lililoleng: jamii na wahitaji wa nje ya eneo
Mapendekezo ya Uwekezaji: Wawekezaji wote kuweza kutumia Technolojia ya kisasa katika kuvuna na kurina asali.
Hakimiliki©2017 NDC . Haki zote zimehifadhiwa.